Sunday, August 19, 2012

SIRI YA UTEUZI WA MAKADHI TANZANIA????

 Sheikh  Mohamed Mussa ametujuza hili leo hii Idd Mosi 19/8/2012.
 
Assalaam alaykum warahmatullahi.
 
Kaka zangu na dada zangu katika imani, nataraji mnaisherehekea sikukuu ya 'idul fitr kwa furaha ndani ya mipaka aliyoamrisha Allwaah (Subhaanahuu wa taala). Nimepata habari hii kupitia forum ya ndugu zetu wa Uganda na nimeona ni-share na ninyi kwani tumekuwa tukijiuliza kulikoni Mufti wa Bakwata ghafla akapiga U-turn kweye kadhia ya mchakato wa Mahakama ya Kadhi Tanzania na kutangaza makadhi wake. Someni wenyewe muone jinsi ambavyo habari hii inawezekana kabisa kuwa ndiyo motive y auteuzi huu ambao umeacha gumzo kwa waislamu na hata wasiokuwa waislamu.
 
Muslims in East Africa to fast and celebrate Eid concurrently
By Waiyaka Rira
The Muslim leadership in the East African region has resolved to observe the Holy month of Ramadhan and also celebrate Eid on the same day.
The resolution was reached at during a recent conference of Muslim clerics held at the Inn by the Sea Hotel in Tanga, Tanzania and it was organized by UMOJA WA Waislamu wa Africa Mashariki (UWAM), an umbrella body of Muslims in East Africa.
 
The resolution was disclosed to this writer by the director of Sharia in the country, Sheikh Hussein Rajab Kakooza, in an exclusive interview at his home in Kawempe in Kampala.
Sheikh Kakooza said that according to what was agreed upon, fasting, breaking the fast and all programmes related to both Eid mubrak and Eid Adhuha will be marked applying the same Islamic time table in East Africa.
 
Muslims in East Africa have been celebrating Eid Mubrak and Idd Adhuha on different days. Kenya for instance, has been marking these important occasions at least one day after their Ugandan brothers and sisters in the Islamic faith.
 
The Tanga conference came after an earlier one held in Lamu, in Kenya and the agenda was to prepare a common stance on announcing the official sighting of the Crescent during the Holy month of Ramadhan.
 
According to invitations signed by the Mufti of Tanzania, Issa bin Shaaban Simba, celebrating Ramadhan on different days has caused a lot of controversy to Muslims and the general public and governments on the actual or official declaration of the beginning and ending of the Holy month.  
 
Participants were top Muslim leaders of the East African countries who included Muftis, Chief Kadhis and Sheikhs. Representatives came from Kenya, Uganda, Tanzania and Zanzibar.
The conference was also to devise effective and practical methods of advancing the aims and objectives of Umoja waislamu wa Africa Mashariki (UWAM). 
 
Baada ya kuisoma habari hii, utaona kwamba Uganda ina Mufti na Kadhi Mkuu na hali kadhalika Kenya na Zanzibar. Katika nchi hizo, ni makadhi ndio hutangaza mwandamo wa mwezi wa Ramadhan, Shawwal na Dhul Hajj . Ni Tanzania tu ndiyo ilikuwa haina Kadhi Mkuu. Hivyo uteuzi wa makadhi wa Mufti Simba unaweza kuwa umechochewa na hitajio la haraka la Tanzania kuwa na Chief Kadhi ili nae awe anatangaza mwezi kama ilivyo Kenya, Uganda na Kenya. Na ndivyo ilivyofanyika kwa mwezi wa kuandama na kufungua mwaka huu kwani aliyetangaza mwezi kimsingi ni "Kadhi Mkuu" Sheikh Mnyasi ingawa aliwateua kutangaza mwezi wa kuandama Ramadhani Mufti Simba (Ambaye ndiye aliyemteu huyo "Kadhi Mkuu"!!!!!!) na mwezi wa Shawwal amemteua Shh Alhad Mussa kutangaza kwa niaba yake.
 
Wakati waislamu na Jopo la Masheikh 25 wa taasisi mbali mbali wakisubiri hatua nyigine ya mazungumzo yao na serikali, kumbe Bakwata waoo walikuw ana agenda nyingine.
 
haya ndiyo niliyoona ni-share nanyi.
 
Jazaakum Allwaahu khayra.


No comments:

Post a Comment