Wa-ssalaam Alaykum Warahmatullahi Wabarakatuh. - Nimeingiza humu leo hii 27/8/2012.
I
watched yesterday's (26/8/2012) 8.00pm ITV news bulletin (Tanzania) where the
sitting president made a statement tantamount to criminalising the
refusal of Muslims in Tanzania to participate in the ongoing exercise
of The Population Census recording.
Actually,
according to the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977
"every person has a right to the FREEDOM of CONSCIENCE" under ARTICLE
19. In Swahili, this part which is the first sentence of the said
article reads " "KILA MTU ANASTAHILI KUWA NA UHURU WA MAWAZO".
It is not a CRIMINAL ACT to refuse to be counted. Henceforth when Muslims refuse to comply with the Census Clerk's
wherever they are they are exercising this basic right of freedom of Conscience and not breaking any law.
Jambo
hili laelekea wengi hatulifahamu. Na mfano mzuri ni Askari Jeshi
kukataa kwenda pigana vitani kuilinda nchi yake. Uhuru huo anao na
anapojieleza kwamba nafsi yake haimtumi kushiriki katika hilo na kwamba
anatambua uhuru wake huo, jambo hilo si UHAINI, kama wengi wetu
tunavyodhani. Hivyo hivyo kwa mfano kujiunga na Jeshi la Kujenga
Taifa, na kadhalika. Waislam wasitishwe wana kutishika na maneno
makali wanayotoa viongozi ETI Waislam watachukuliwa
hatua kali wasiposhiriki Sensa.
Endapo
hilo litatokea kwa sababu nchi yetu HAIFUATI MFUMO WA SHERIA (RULE OF
LAW); mhimili wa kujihami kwa Waislam juu ya hilo ni hiyo Ibara
niliyoinukuu hapo juu. Hata wakishtakiwa Waislam wote waliokataa
kuandikishwa sensa hiyo ndio kinga yao (defence). Wabillahi Taufiq,
Masalaam.
No comments:
Post a Comment