Tuesday, March 10, 2009

MUNGU NI MKUBWA NA TUNATAKIWA KUMSHUKURU NA KUMUOMBA

Ndugu zangu katika Iman,
Namshukuru Mungu kuniwezesha kufungua blog hii ya mambo ya imani ya dini ya Kiislam. Karibuni sana tushirikiane kusoma na kuchangia mambo mbalimbali yahusuyo imani yetu, inshaallah.

No comments:

Post a Comment