Friday, May 8, 2015

RATIBA YA SWALA ZA SUNNA ZILIZOSISITIZWA NA ZISIZOSISITIZWA

 
 KUTOKA   AL HIDAAYA.
 
Ratiba Ya Swalah Za Sunnah  Zilizosisitizwa Na Zisizosisitizwa
 
 
NYAKATI ZA
SWALAH
 
*MUAKKADAH  
(ZILOSISITIZWA)
GHAYR MUAKKADAH (ZISOSISITIZWA)
KABLA
BAADA
KABLA
BAADA
ALFAJIRI
**2
Soma Suratul-Kaafiruun na Ikhlaasw
-
-
-
 
ADHUHURI
 
4
2
-
-
ALASIRI
 
-
-
4
-
MAGHARIBI
 
-
2
Soma Suratul-Kaafiruun na Al-Ikhlaasw
2
-
'ISHAA
 
-
2
2
-
 
 
 
Fadhila Zake:
 
 
(( مَا مِنْ عبْدٍ مُسْلِم يُصَلِّي للَّهِ تَعَالى كُلَّ يَوْمٍ ثِنْتَيْ عشْرةَ رَكْعَةً تَطوعاً غَيْرَ الفرِيضَةِ ، إِلاَّ بَنَى اللَّه لهُ بَيْتاً في الجَنَّةِ ، أَوْ : إِلاَّ بُنِي لَهُ  بيتٌ في الجنَّةِ  )) رواه مسلم  
 
((Hatoswali mja Rakaa 12 zisizo za fardhi kwa siku, ila atajengewa [na Allaah] nyumba peponi)) [Muslim]
 
 
 Nazo ni hizo Muakkadah (Zilosisitizwa) jumla yake ni 12 
 
 (( ركْعتا الفجْرِ خيْرٌ مِنَ الدُّنيا ومَا فِيها ))   رواه مسلم
 
** ((Rakaa mbili (za Sunnah) kabla ya Alfajiri ni kheri kuliko duniya na yaliyomo ndani yake) [Muslim]
 
 ‏‏((ما من عبد يسجد لله سجدة إلا كتب الله له بها حسنة ومحا عنه بها سيئة ورفع له بها درجة فاستكثروا من السجود))    رواه ابن ماجه
 
((Mja yeyote atakayesujudu sijda moja ataandikiwa wema mmoja, na atafutiwa baya moja, na atapandishwa daraja yake, kwa hiyo zidisheni kusujudu)) [Ibn Maajah]  
 
Swalah ya Tahajjud
 
(( أفضل الصلاة بعد الفريضة صلاة الليل))  رواه مسلم
 
((Swalah iliyo bora kabisa baada ya Fardh ni Swalah ya usiku))  [Muslim]
 
 
Swalah Ya Dhuhaa na  Swalah Ya Witr
 
عـَن أبي هـُريْرَة رضيَ الله عنه قال : أوصـَانـِي خـَليلي صـَلـَّى الله عليه وسلم بـِصـِيامِ ثـَلاثـَة ِ أيـَّام ٍ مـِنْ كـُل شـَهر ٍ، وَ ركـْعـَتي الضـُّحى ، وأنْ أوتـِرَ قبلَ أنْ أرقـُـد ـ متفق عليه ـ
 
 
Kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ‘anhu) kwamba “Ameniusia rafiki yangu Swalla Allaahu ‘alayhi wa sallam [mambo matatu]; kufunga siku tatu katika kila mwezi, Rakaa mbili Dhuhaa na niswali Witr kabla ya kulala” [Al-Bukhaariy na Muslim]
 
 
Tunamuomba Allaah (Subhaanahu wa Ta'ala) Atuwezeshe kujitenga na maasi na kuzidisha mema katika mwezi huu mtukufu na Atufikishe Ramaadhaan. Aamiyn.
 
  

No comments:

Post a Comment