Friday, July 20, 2012
RAMADHAN KARIM
IMEINGIZWA IJUMAA, TAREHE 20 JULAI, 2012.
WANDUGU, WA-SSALAAM ALAYKUM WARAHMATULLAHI WABARAKATUH.
Nilidhamiria kuweka hapo UKWELI JUU YA MCHAKATO WA MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA KAMA ULIVYOFAFANULIWA NA SHEIKH MOHAMED ISSA LAKINI CHA KUSHANGAZA NILIPOKOPI TAARIFA HIYO TOKA PROGRAMU YA WORD 2007 IKAKATAA KUINAKILI HUMU NDANI YA BLOGU YANGU.
HIVYO NILICHOBAKIWA NACHO NI KUWAOMBEA MZIDISHIWE HERI NA UPENDO KATIKA MFUNGO HUU WA MWEZI WA RAMADHANI MWAKA HUU WA 1431 WA KIISLAM. MUNGU AWAZIDISHIE UJASIRI WA KUMJUA ZAIDI KWA KUJITAHIDI KUSOMA ZAIDI KUR-ANI NA TAFSIRI YAKE, AWAZIDISHIE AFYA NA FURAHA KATIKA KUYAENDEA MAAMRISHO YAKE NA KATIKA KUYAKABILI MAKATAZO YAKE, INSHAALLAH.
RAMADHAN KARIM KWA WAISLAM NA WASIOKUWA WAISLAM WOTE WALIOPO MOROGORO, TANZANIA NA DUNIA NZIMA. MUNGU AWABARIKI.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment