SOMA MSTARI WA KWANZA KWA MAKINI.
"MUNGU akikupa mtihani wowote ule, basi atakuwezesha kuukabali mtihani huo".
Nyakati za furaha, mtaje MUNGU.
Nyakati za matatizo, muombe MUNGU.
Nyakati za utulivu, muabudu MUNGU.
Nyakati za maumivu,mtegemee MUNGU.
Kila wakati, mshukuru MUNGU.
Peleka ujumbe huu kwa watu wengi wapate kumbukumbuka na KUMSHUKURU MUNGU KWA KILA JAMBO, INSHAALLAH.
Saturday, March 20, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment