Wednesday, November 11, 2009

A S T A G H F I R U L L A H !!!

JAMANI HIZI SIO DALILI WAZI ZA MWISHO WA DUNIA?

Date: Tue, 10 Nov 2009 06:11:42 -0800
From: eyakamala@yahoo.co.uk
To: list@tanzanet.org


Wananet,

Kanisa la Kiswidi (Church of Sweden) - ambalo imani yake ni ya Kilutheri, limepitisha uamuzi kwamba kuanzia November 1, kanisa la kiswidi linaweza kufungisha ndoa "takatifu" kati ya mwanamme na mwanamme au mwanamke na mwanamke.
Haikuishia hapo. Jumapili ya tarehe 8, November Kanisa la kiswidi lilimsimika Eva Brunne kama askofu mpya wa daiosis ya Stockholm. Mama Eva Brunne amekuwa kwa miaka kadhaa anaishi wazi na mwanamke mpenzi wake hivyo kujulikana kama " the World's First Lesbian Bishop "

Je kuna yeyote amesikia wenzetu ELCT wanasemaje kuhusu haya?

eyaKamala